Kunguni waitesa Ufaransa, Serikali yatoa tamko

Wananchi wa Ufaransa pamoja na watalii wanaoitembelea nchi hiyo wanaugulia maumivu baada ya kungátwa na kunguni ambao wamesambaa katika maeneo mengi hasa ya umma. Kufuatia...

Umoja wa Mataifa wataka kuimarishwa demokrasia Afrika

Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk ametoa wito wa kurejeshwa haraka utawala wa kirai kwenye mataifa ya Afrika yalioshuhudia...
Skip to toolbar