Ntibazonkiza mchezaji bora Mei 2023

0
135

Kiungo Mshambuliaji wa Klabu ya Simba, Saido Ntibazonkiza amekuwa Mchezaji Bora wa mwezi Mei katika Ligi Kuu ya NBC.

Saido amefunga jumla ya magoli saba katika mwezi huo, ambapo magoli matano alifunga katika mchezo mmoja, pamoja na kuhusika na magoli mengine mawili.