Dkt Rioba awatakia heri wanawake TBC

0
787

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt Ayub Rioba akizungumza na wanawake wafanyakazi wa TBC ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani na kusema kuwa shirika hilo linawathamini wanawake na hata kuwakabidhi majukumu mbalimbali ya uongozi.