CCM yapitisha majina matano Urais Zanzibar

0
2048

Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi
Zanzibar imepitisha majina matano kati ya majina ya watu  32 ya
waliojitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar
katika uchaguzi mkuu.

Akuzungumza baada ya kukamilika kwa mkutano huo Naibu Katibu Mkuu CCM ZAZNIBAR, Dkt. Abdallah Mabodi amesema mchakato wa kuwachagua watu hao umefuata taratibu zote za chama hicho.