MichezoUncategorized Azam FC yatupwa nje Mapinduzi By Ezekiel Simbeye - January 8, 2023 0 209 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Singida Big Stars wanaipiga Azam FC magoli 4-1 na kutinga fainali ya Kombe la Mapinduzi mwaka 2022. Singida BS sasa wanasubiri mshindi kati ya Mlandege na Namungo FC, mchezo utakaopigwa kesho.