Yanga yazindua jezi maalum

0
223

Kuelekea kumbukumbu ya miaka 23 ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, klabu ya Yanga imezindua jezi maalum kumuenzi Rais huyo wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.