Yanga yamalizana na Ntibazonkiza

0
255

Klabu ya Yanga imemalizana na aliyekuwa mchezaji wake raia wa Burundi Saidi (Saidoo) Ntibazonkiza.

Taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari ya Klabu hiyo imesema mkataba wa Ntibazonkiza umemalizika Mei 30, 2022.

Yanga wamemshukuru Saidi kwa utumishi wake wa miaka miwili ndani ya klabu hiyo na kumtakia kila la kheri aendako.