Yanga yakomba M15 za Rais Samia

0
147

Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza ahadi aliyoitoa ya kununua kila goli litakalofungwa katika michuano ya kimataifa ngazi ya klabu kwa Simba na Yanga kwa shilingi milioni 5.

Yanga wamefanikiwa kukwapua shilingi milioni 15 baada ya kuiadhibu TP Mazembe ya DRC mabao 3-1 katika mchezo wa mkondo wa pili hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CCC).