Yanga na Azam zagawana alama

0
192

Yanga wanamzuia Azam kuwalambisha ‘ice cream’ na Azam wamehakikisha Yanga haitetemi.

Ni dabi ya kukata na shoka iliyorindima uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ambapo timu zote mbili zimegawana alama kwa kutoka sare ya bao 2 – 2.