Yanga anapoteza mechi ya Pili mfululizo Ligi kuu soka Vodacom Tanzania Bara

0
482

Full time Azam anaondoka na ushindi wa bao moja kwa bila, bao la Azam likipatikana dakika ya 25 baada ya Ali Mtoni (Sonso) kujifunga katika harakati za kuokoa mpira langoni mwa timu yak