Baada ya mchezaji WILLIAN wa CHELSEA kufanya vizuri katika mchezo dhidi ya Tottenham Hotspur mwishoni mwa wiki iliyopita kocha wa CHELSEA FRANK LAMPARD anataka WILLIAN aongezwe mkataba.
LAMPARD anesema mchezaji huyo amekuwa na mchago mkubwa katika timu yake hivyo kama kuna matatizo na uongozi wayamalize ili aendelee kubakia katika klabu hiyo
WILLIAN alionekana kupotea katika msimu wa kocha MAURIZIO SARRI jambo ambalo lilioneka kuwa anataka kuondoka katika klabu hiyo.
Lampard atarajia kumuona mchezaji huyo akiendelea kucheza ambapo watakuwa nyumbani dhidi ya SOUTHAMPTON