Wagosi wa Kaya waziramba barafu za Azam

0
378

Coastal Union waitandika Azam fc bao moja kwa bila wakitumia vyema dimba la nyumbani uwanja wa Mkwakwani

Bao pekee la Coastal Union limefungwa na Hajji Ugando