TWIGA STARS YALITEMA TAJI LA COSAFA

0
894

Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) imevuliwa ubingwa wa michuano ya COSAFA, baada ya kunyukwa mabao mawili kwa moja na Zambia katika mchezo wa nusu fainali.

Mchezo huo umepigwa katika dimba la Isaac Wolfson, nchini Afrika Kusini.