Tovuti ya Al-Nassr yazidiwa

0
138

Baada ya Cristiano Ronaldo kutambulishwa katika klabu ya Al-Nassr idadi ya watembeleaji wa tovuti ya klabu hiyo iliongezeka kwa kasi na kupelekea mtandao huo kuzidiwa na kuzima kwa muda.