Tembo Warriors yaanza Kwa sare

0
119

Tembo Warriors Yaanza Vyema Kombe la Dunia kwa  kuwabana Timu ya Taifa ya Hispania baada ya kutoka 0-0 katika mechi ya kwanza iliyochezwa leo Oktoba 1, 2022 Istanbul, Uturuki.