Simba wairarua KMC

0
417

Klabu ya soka ya Simba ya jijini Dar es salaam imeendeleza wimbi lake la ushindi kwa kuinyuka klabu ya KMC mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu Vodacom Tanzania bara

Mabao ya Simba yamewekwa kimiani na Mshambuliaji Raia wa DRC Deo Kanda Dakika ya 46, la pili likifungwa na Mbrazil Fraga