Simba vs Yanga kufungua pazia September 25

Ligi Kuu Tanzania Bara

0
245

Mechi ya Ngao ya Jamii, kufungua rasmi msimu wa mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) 2021/2022 kati ya Simba na Yanga, itachezwa Septemba 25 mwaka huu.

Mechi hiyo itafanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuanzia saa 11:00 jioni.