Simba kuchuana na vijana wa kinondoni KMC uwanja wa Taifa

0
309

Simba leo watashuka dimbani dhidi ya KMC Fc katika mchezo wa ligi kuu Vodacom Tanzania Bara mchezo unaotarajiwa kuchezwa saa 2 usiku