Serengeti Girls out Kombe la Dunia

0
823

Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Girls), imeondolewa katika mashindano ya Kombe la Dunia baada ya kufungwa magoli 3- 0 na Colombia katika hatua ya robo fainali.

Mchezo kati ya Serengeti Girls na timu ya Taifa ya Colombia umechezwa leo nchini India.