Mchezaji was zamani wa timu ya Taifa ya Brazil Ronaldo De Lima amesema amesema yupo katika mipango ya kununua timu nyingine ya soka baada ya mwaka jana kufanikiwa kuwa mmliki wa klabu ya Real Valladolid ya LaLiga.
Ronaldo ambaye amewahi kuwa mchezaji Bora wa Dunia amesema yupo nchini Ureno kutafuta timu ya kuinunua baada ya kushindwa kufanya hivyo nchini England kutokana na bei zake kuwa juu.