Rais Magufuli kukutana na Stars

0
2404

Rais John Magufuli leo anakutana na wachezaji wa timu ya Taifa ya Soka – Taifa Stars na baadaye kula nao chakula cha mchana Ikulu jijini Dar es salaam.