Namungo watoa dozi

0
184

Timu ya Namungo fc ya Tanzania imeutumia vyema mchezo wa nyumbani dhidi ya Al hilal Obeid ya Sudan kwa kuitandika mabao 2 kwa nunge kwenye mechi ya kwanza ya kombe la shirikisho barani Afrika kwa hatua ya mtoano

Mabao ya Sixtus Sabilo na Stephen Sey yanaipa timu ya Namungo nafasi yakusonga mbele katika michuano hiyo ikiwa sasa na kibarua cha kulinda ushindi walioupata katika mchezo wa marejeano