Messi Mchezaji Bora wa FIFA 2019

0
1305

Lionel Messi mchezaji mahiri kutoka Barcelona Raia wa Argentina ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA 2019
Messi ameshinda Tuzo hiyo akiwa kinara dhidi ya Mpinzani wake Cristiano Ronaldo wa Juventus na Beki Mahiri wa Liverpool Virgil Van Dijk


Kwa upande wa Walimu Tuzo ya kocha bora imekwenda kwa Jurgen Klopp kocha wa Liverpool ambao ndio mabingwa wa Ulaya kwa sasa

Jurgen Klopp