Messi apokelewa kwa heshima PSG

0
135

Wachezaji wa klabu ya PSG ya nchini Ufaransa wamempokea Lionel Messi kwa heshima baada ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia mwaka 2022 nchini Qatar.

Messi amerejea kuungana na wachezaji wenzake ambao katika mapokezi hayo walimfanyia Gwaride la Heshima (Guard of Honour).