Mechi za Leo Ligi Kuu England (EPL)

0
511

Ligi kuu ya England inaendelea Usiku wa Leo ambapo Leicester City watawakaribisha King Power Stadium West ham United, huku Tottenham wakicheza dhidi ya Norwich city

Manchester united watawakaribisha Burnley katika dimba lao la Old Trafford wakiwa na kumbukumbu ya kutandikwa mabao 2 kwa bila dhidi ya Majogoo Liverpool