Washiriki wa Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) na Umoja wa Michezo ya Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara na Zanzibar, wakifanya mazoezi ya mwisho kabla ya ufunguzi rasmi wa mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA hapo kesho katika uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara.
Ufunguzi huo utafanywa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.