Timu ya Brighton imefungwa mabao 3 kwa 1 dhidi ya AFC Bournemouth
Aston villa ikishinda mabao 2 kwa 1 dhidi ya Watford
Crystal Palace wamechezea kichapo cha mabao 2 kwa bila kutoka kwa Southampton
Wakati Everton wakitoka sare ya mbili mbili dhidi ya Newcastle united
Sheffield wametandikwa bao moja bila dhidi ya Manchester city
Wakati katika mechi ya mwisho Chelsea the blues wazee wa Darajani wamelazimishwa sare ya mabao mawili kwa mawili dhidi ya washika bunduki wa London timu ya Arsenal