Mashabiki waizomea United baada ya kichapo Old Trafford

0
512

Manchester United imekubali kichapo cha mabao mawili kwa nunge kutoka kwa Burnley na kufanya mashabiki wa timu hiyo kuwazomea baada ya kupoteza mchezo huo wa ligi kuu England wakiwa nyumbani Old Trafford

Leicester City imeibuka na ushindi mnono wa mabao 4 kwa 1 dhidi ya West ham United

Wakati Tottenham Hotspur wenyewe wakiibuka na ushindi wa mabao 2 kwa 1 dhidi ya Norwich City