Baada ya Sare ya magoli 2 kwa 2 dhidi ya Yanga , Msemaji wa Wekundu wa Msimbazi Simba Hajji Manara ameandika na kushushia zigo la lawama kwa wachezaji wa Simba
Ukurasa wa Haji Manara
Manara ametupia lawama zake hizo kwa wachezaji kupitia ukurasa wake wa Instagram