Man U wapoteza nusu fainali Carabao Cup

0
517

Manchester United imeangukia pua katika mchezo wa nusu fainali kombe la Carabao baada ya kutandikwa mabao 3 kwa 1 dhidi ya Manchester City

Magoli ya City yamefungwa na Silva dakika ya 17, Mahrez dakika ya 33 na goli la 3 Manchester United wakijifunga kupitia kwa Pereira dakika ya 38 huku bao lakufutia machozi kwa United likifungwa na Marcus Rashford dakika ya 70