Klabu ya soka Manchester City imefungiwa kwa miaka miwili kushiriki mashindano ya UEFA baada ya kuvunja moja ya kanuni za usajili inayotaka kuzingatia matumizi ya kifedha katika masuala ya usajili yaani Financial Fair Play
Adhabu hiyo inaambatana na faini ya paundi milioni 60.