Michezo Makamu wa Rais akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC By TBC - March 26, 2019 0 390 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, – Theobald Maingu Sabi ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam ambapo Mkurugenzi huyo alifika ofisini kwake kwa lengo la kujitambulisha.