Liverpool yaendeleza ubabe Kombe la FA

0
505

Mabingwa wa Ulaya na Dunia katika ngazi ya vilabu Liverpool imeanza vizuri mzunguko wa nne wa michuano ya kombe la FA baada ya kuitandika Everton bao moja kwa bila

Bao pekee la mchezo huo limefungwa dakika ya 71 na kiungo Curtis Jones akimchungulia golikipa na kupiga (spin ball) banana chop iliyomshinda golikipa na kuzama nyavuni