Ligi kuu soka England imeendelea leo kwa michezo nane kupigwa katika viwanja mbalimbali

0
487

Watford wakitoka suluhu dhidi ya Tottenham Hotspur .


Arsenal wakifungana moja moja dhidi ya Sheffield United .


Huku Brighton wakitoka sare ya bao moja kwa moja dhidi ya Aston Villa.


Manchester city wakiendelea kubanwa mbavu na kutoka sare ya bao mbili kwa mbili dhidi Crystal Palace .


Norwich City wakitoka na ushindi wa bao moja bila dhidi ya AFC Bournemouth .


Southampton wakifungwa mabao matatu kwa mawili dhidi ya Wolves.


West ham united wametoka sare ya bao moja kwa moja dhidi ya Everton.


Newcastle wakiwa dimbani dhidi ya Chelsea the blues hadi kipindi cha kwanza bado milango ni migumu.


Southampton wakifungwa mabao matatu kwa mawili dhidi ya Wolves.


West ham united wametoka sare ya bao moja kwa moja dhidi ya Everton.


Newcastle wakiwa dimbani dhidi ya Chelsea the blues hadi kipindi cha kwanza bado milango ni migumu