Lewandowski afikisha mabao 200

0
1181

Goli alilofunga Robert Lewandoski Usiku wa jana dhidi ya FK Crvena Zvezda linamfanya mchezaji huyo kufikisha magoli 200 akiwa na timu ya Bayern Munich ya Ujerumani.

Lewandowski amecheza mechi 249 akiwa na klabu hiyo ya Bayern Munich

Bayern imeshinda 3-0 kwenye Mchezo wake wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Ulaya
(UEFA Champions League)