Kocha wa Mtibwa Sugar ya Mkoani Morogoro Zubery Katwila amechaguliwa kuwa kocha Bora wa mwezi Oktoba katika msimu huu wa ligi kuu ya Vodacom 2019/2020.
Katwila ameiongoza klabu yake ya Mtibwa katika michezo mitatu ya ligi kuu msimu huu wa mwaka 2019/2020