Kikosi cha Stars kitakachomenyana na Rwanda

0
1174

Majina ya Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Soka (Taifa Stars) yaliyotajwa na Kaimu Kocha Mkuu wa timu hiyo, – Etienne Ndayiragile, kumenyana na Rwanda katika mchezo wa kirafiki Oktoba 14 mwaka huu.