Kuelekea mchezo wa klabu ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar utakaochezwa katika dimba la Jamhuri mjini Morogoro,tayari kikosi cha timu hiyo kikiongozwa na kocha wake kimewasili katika mkoa huo kwa ajili ya maandalizi ya kukabiliana na wakata miwa wa manungu,mchezo utakaochezwa Septemba 12 mwaka huu.