Julietha Singano kukipiga Mexico

0
191

Nyota wa Simba Queens Julietha Singano ametambulishwa rasmi na Klabu yake mpya ya FC Juarez ya nchini Mexico.

Julietha ambaye hucheza nafasi ya mlinzi wa kati anatambushwa hii leo na klabu hiyo baada ya taratibu za uhamisho kukamilika.