Hatimae ni Argentina

0
187

Argentina imeibuka mabingwa wa Dunia baada kuibwaga Ufaransa ambao walikuwa mabingwa watetezi wa kombe hilo kwa mikwaju ya penati 4-2.

Mchezo huo umelazimika kwenda kwenye hatua ya matuta baada ya dakika 90 kumaliza kwa sare ya mabao 2-2 na hata Dakika 120 bado Matokeo yakaishia 3-3.