Timu ya Wekundu wa Msimbazi Simba imeitandika Power Dynamos ya Zambia mabao matatu kwa moja katika uwanja wa Taifa katika mchezo wakirafiki wakimataifa katika kilele cha Simba Day
Wakati mchezo huo ukiendelea Msemaji wa Simba Hajji Manara amekisifu kikosi cha timu hiyo na kusema kuwa Simba ya sasa ni zaid ya timu ya Barcelona, katika mchezo huo mabao matatu ya Simba yamefungwa na mshambuliaji Meddie Kagere MK14.