Erasto Nyoni “Thank you”

0
236

Klabu ya soka ya Simba imetangaza kuachana na nyota wake Erasto Nyoni kuanzia sasa.

Taarifa ya Simba kupitia mitandao yake ya kijamii imeeleza “Uongozi wa klabu unautangazia umma kuwa hatutaendelea kuwa na mchezaji wetu kiraka Erasto Nyoni baada ya mkataba wake kumalizika”.