Enock Atta aondolewa Singida BS

0
211

Klabu ya Singida Big Stars imemuondoa katika kikosi chake mchezaji Enock Atta katika mechi zilizobakia msimu huu, kwa sababu timu aliyotoka ya Horoya ya Guinea kugoma kutoa kibali cha uhamisho wa kimataifa (ITC).

Singida Big Stars imeamua kumtoa kikosini Atta
wakati mipango mingine ikiendelea.