Dakika 90 za mchezo baina ya Kagera Sugar na Tanzania Prisons uliopigwa katika Dimba la Kaitaba mkoani Kagera zimemalizika ambapo wageni katika mchezo huo maafande wa magereza wameibuka na ushindi wa bao moja kwa bila. Bao pekee katika mchezo huo limefungwa katika dakika ya 78 na Marco Mhilu

0
107