Chelsea yamtimua kocha wake

0
158

Klabu ya mpira wa miguu ya Chelsea ya nchini Uingereza, imemfukuza kocha wake
Thomas Tuchel raia wa Ujerumani.

Tuchel amefungashiwa virago zikiwa zimepita saa chache baada ya mchezo kati ya Chelsea na Dinamo Zagreb, ambapo Chelsea ililala kwa bao moja kwa bila.