Aussems kocha bora wa mwezi Septemba

0
1097

Kocha wa timu ya Simba ya jijini Dar es salaam, -Patrick Aussems, amechaguliwa kuwa Kocha bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2019/20.