Algeria Mabingwa wa Afrika 2019

0
517

Timu ya Taifa ya Algeria wameibuka MABINGWA katika Michuano ya Mataifa ya Afrika na kubeba kombe hilo la AFCON 2019 nchini Misri baada ya kuitandika Senegal bao moja kwa bila

Bao la Algeria limefungwa mapema kabisa katika dakika ya pili ya mchezo huo wa fainali uliopigwa dimba la kimataifa la Cairo na mchezaji
Baghdad Bounedjah aliyepiga mkwaju uliomgonga mchezaji wa Senegal na kutinga nyavuni.