Michezo Ajibu kuichezea Azam FC kwa mwaka mmoja By TBC - December 30, 2021 0 141 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Klabu ya Azam FC imetangaza kuingia mkataba wa mwaka mmoja na aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu. Ajibu amekabidhiwa jezi namba nane iliyokuwa inavaliwa na Salum Aboubakar (Sure Boy) aliyejiunga na klabu Yanga hivi karibuni.