Zipo sehemu za starehe

0
221

“Tumefikiria pia safari kama kwenda Port Bell [Uganda] yaweza kuchukua saa 10, hii meli kufika yaweza kuwachosha watu hivyo kuna restaurant ya kisasa, migahawa lakini pia sehemu ya kucheza muziki.

Unaweza kwenda njia nzima unacheza muziki kama hutaki kulala chumbani kwako, bendi live zitakuwa zinapigwa ndani ya meli. Hivi kwanini Serikali inatupa raha na sisi tutake shida? Hatuna haja ya kupata shida wakati miundombinu hiyo ya kustarehe tunayo pia.”

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL), Eric Hamissi