Ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa yaendelea Iringa

0
173

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS kilichopo mjini Iringa, ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani humo.